// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 21, 2024

    MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA


    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
    Imekuwa siku nzuri kwa mshambuliaji Ismail Mohamed Mgunda aliyefunga mabao mawili la kwanza dakika ya nane na la pili kwa penalty dakika ya 45 – huku la tatu likifungwa na Julius Laban Kamoga dakika ya 86.
    Kwa ushindi huo, Mashujaa FC inafikisha pointi 12 katika mchezo wa saba na kusogea nafasi ya sita, wakati inayobaki na pointi zake nne za mech inane sasa inaendelea kushika mkia.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MGUNDA AFUNGA MAWILI MASHUJAA YAITANDIKA KEN GOLD 3-0 KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top