// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 27, 2024

    LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU


    MKONGWE Robert Lewandowski usiku wa jana alifunga mabao mawili kuiwezesha Barcelona kushinda 4-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Santiago Bernabéu Jijini Madrid, Hispania.
    Mpoland huyo alifunga mabao yake mfululizo dakika za 54 akimalizia pasi ya Marc Casadó na 56 akimalizia pasi ya Alejandro Balde, wakati mabao mengine ya Barca yalifungwa na dogo Mspaniola Lamine Yamal dakika ya 77 na Mbrazil Raphael Dias Belloli Raphinha dakika ya 84.
    Kwa ushindi huo, Barcelona inatanua uongozi wake kileleni mwa La Liga ikifikisha pointi 30, sita zaidi ya mabingwa watetezi, Real Madrid baada ya wote kucheza mechi 11.

     

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA MBILI BARCA YAIKANYAGA REAL 4-0 PALE PALE BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top