// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 BAO PEKEE LA CHAMBO MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 BAO PEKEE LA CHAMBO MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 31, 2024

    KMC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 BAO PEKEE LA CHAMBO MWENGE


    BAO pekee la Rashid Chambo dakika ya tatu limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Luu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
    Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi 14 na kusogea nafasi ya sita, wakati Namungo FC inabaki na pointi zake tisa nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 10.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 BAO PEKEE LA CHAMBO MWENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top