// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KMC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KMC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 03, 2024

    KMC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MWENGE


    BAO pekee la Oscar Paul dakika ya 54 limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
    Kwa ushindi huo, KMC inafikisha pointi nane katika mchezo wa saba, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake nne za mechi saba pia.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KMC YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MWENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top