// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED MABAO 2-0 UWANJA WA JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED MABAO 2-0 UWANJA WA JAMHURI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 02, 2024

    DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED MABAO 2-0 UWANJA WA JAMHURI

    WENYEJI, Dodoma Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
    Mabao ya Dodoma Jiji leo yamefungwa na washambuliaji wake mahiri, Paul Peter Kasunda dakika ya 46 na Waziri Junior Shentembo dakika ya 90'+1.
    Kwa ushindi huo, Dodoma Jiji inafikisha pointi tisa na kusogea nafasi ya saba ikiishushia nafasi ya nane Tabora United inayobaki na pointi zake nane baada ya wote kucheza mechi saba.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DODOMA JIJI YAICHAPA TABORA UNITED MABAO 2-0 UWANJA WA JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top