// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA BLACK STARS YAPUNGUZWA KASI, SARE 1-1 NA JKT LITI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA BLACK STARS YAPUNGUZWA KASI, SARE 1-1 NA JKT LITI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 29, 2024

    SINGIDA BLACK STARS YAPUNGUZWA KASI, SARE 1-1 NA JKT LITI


    TIMU ya Singida Black Stars imepunguawa kasi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM Liti mjini Singida.
    Singida Black Stars iliyoshinda mechi zake nne za awali, tatu ugenini - ilitangulia kwa bao la mshambuliaji wake Mkenya, Elvis Rupia kabla ya beki Wilson Nangu kuisawazishia JKT Tanzania dakika ya 67.
    Kwa matokeo hayo, Singida Black Stars inafikisha pointi 13, wakati JKT Tanzania inatimiza na pointi saba kufuatia timu zote kucheza michezo mitano jumla.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA BLACK STARS YAPUNGUZWA KASI, SARE 1-1 NA JKT LITI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top