// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC YAICHAPA AZAM 2-0 MABAO YA ATEBA NA NGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC YAICHAPA AZAM 2-0 MABAO YA ATEBA NA NGOMA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, September 26, 2024

    SIMBA SC YAICHAPA AZAM 2-0 MABAO YA ATEBA NA NGOMA


    TIMU ya Simba SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Azam FC mabao 2-0 usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
    Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji Mcameroon, Christian Leonel Ateba Mbida dakika ya 15 akimalizia pasi ya kiungo Muivory Coast, Jean Charles Ahoua na kiungo Mkongo, Fabrice Luamba Ngoma dakika ya 47.
    Kwa ushindi huo, Simba SC wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa tatu, wakati Azam FC inabaki na pointi zake nane baada ya kucheza mechi tano.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC YAICHAPA AZAM 2-0 MABAO YA ATEBA NA NGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top