// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NAMUNGO FC YAICHAPA PRISONS 1-0 MAJALIWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NAMUNGO FC YAICHAPA PRISONS 1-0 MAJALIWA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 28, 2024

    NAMUNGO FC YAICHAPA PRISONS 1-0 MAJALIWA


    TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
    Bao pekee la Namungo FC katika mchezo huo limefungwa na kiungo na Jacob Raymond Massawe dakika ya 71 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi sita katika mchezo wa tano, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake nne za mechi tano.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NAMUNGO FC YAICHAPA PRISONS 1-0 MAJALIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top