// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FOUNTAIN GATE YAICHAPA KEN GOLD 2-1 MANYARA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FOUNTAIN GATE YAICHAPA KEN GOLD 2-1 MANYARA LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 11, 2024

    FOUNTAIN GATE YAICHAPA KEN GOLD 2-1 MANYARA LIGI KUU


    WENYEJI, Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ken Gold katka mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mjini Manyara.
    Mabao ya Fountain Gate yamefungwa na Kassim Suleiman dakika ya 42 na Suleiman Mwalimu dakika ya 58, baada ya Joshua Ibrahim kuanza kuifungia Ken Gold dakika ya tisa.
    Kwa ushindi huo, Fountain Gate wanafikisha pointi sita katika mchezo wa tatu, kufuatia awali kufungwa 4-0 na Simba Jijini Dar es Salaam, kabla ya kwenda kushinda 2-0 dhidi ya Manungo huko Ruangwa.
    Kwa upande wao Ken Gold waliopanda Ligi Kuu msimu huo hicho kinakuwa kipigo cha pili kwao, baada ya kufungwa 3-1 na Singida Black Stars Jijini Mbeya kwenye mchezo wa kwanza. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FOUNTAIN GATE YAICHAPA KEN GOLD 2-1 MANYARA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top