// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); COASTAL UNION YAANZA KUSHINDA MECHI ZAKE, YAICHAPA PAMBA 2-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE COASTAL UNION YAANZA KUSHINDA MECHI ZAKE, YAICHAPA PAMBA 2-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 28, 2024

    COASTAL UNION YAANZA KUSHINDA MECHI ZAKE, YAICHAPA PAMBA 2-0


    TIMU ya Coastal Union imepata ushindi wa kwanza msimu wa 2024-2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuichapa Pamba Jiji FC mabao 2-0 jioni ya leo Uwanja wa 
    Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Mabao ya Coastal Union yamefungwa na John Mark Makwata dakika ya 49 na Maabad Maulid dakika ya 56 na kwa ushindi huo, 'Wana Mangush' wanafikisha pointi nne, wakati Pamba Jiji iliyopanda Ligi Kuu msimu huu inabaki na pointi zake nne baada ya timu zote kucheza mechi sita.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION YAANZA KUSHINDA MECHI ZAKE, YAICHAPA PAMBA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top