// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CLEMENT MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI AGOSTI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CLEMENT MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI AGOSTI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 11, 2024

    CLEMENT MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI AGOSTI


    MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Clement Francis Mzize ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa klabu hiyo.
    Kwa ushindi huo, Mzize aliyewaangusha dhidi ya kipa wa Mali, Djigui Diarra na kiungo Mkongo, Maxi Mpia Nzengeli - atazawadiwe Fedha Shilingi cha Sh. Milioni 3 kutoka kwa wadhamini, kampuni ya NIC Insurance. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CLEMENT MZIZE MCHEZAJI BORA WA YANGA MWEZI AGOSTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top