// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BACCA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA KEN GOLD 1-0 SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BACCA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA KEN GOLD 1-0 SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 25, 2024

    BACCA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA KEN GOLD 1-0 SOKOINE


    BAO pekee la beki brahim Abdallah Hamad 'Bacca' dakika ya 13 limewapa mabingwa watetezi, Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
    Bacca alifunga bao hilo kwa kichwa akimalizia mpira wa adhabu uliopigwa na kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki kutoka upande wa kulia wa Uwanja kufuatia kiungo Mkenya, Duke Abuya kuchezewa rafu.
    Huo unakuwa ushindi wa pili kwa Yanga katika mechi za mwanzo wa msimu ilizocheza, kufuatia ushindi wa awali wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza ugenini pia, wakati kwa Ken Gold iliyopanda Ligi Kuu msimu huu wanafikisha mechi tano bila ushindi, wakifungwa zote.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BACCA AFUNGA BAO PEKEE YANGA YAICHAPA KEN GOLD 1-0 SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top