// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, August 24, 2024

    SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA


    TIMU ya Singida Black Stars leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
    Bao pekee la Singida Black Stars limefungwa na beki wa kati Muivory Coast, Anthony Urbain Tra Bi Tra dakika ya 90'+2 na huo unakuwa ushindi wa pili mfululizo ugenini kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Ken Gold kwenye mchezo wa kwanza Jijini Mbeya.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SINGIDA BLACK STARS WAIKALISHA KAGERA SUGAER 1-0 PALE PALE KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top