• HABARI MPYA

    Friday, July 05, 2024

    MSHERY AONGEZA MKATABA WA KAZI YANGA HADI 2027


    KİPA wa akiba wa Yanga, Abutwalib Hamad Mshery (25) ameongeza mkataba wa miaka mitatu wa kuendelea kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2027.
    VIDEO YA UTAMBULISHO WA MSHERY KUONGEZA MKATABA YANGA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSHERY AONGEZA MKATABA WA KAZI YANGA HADI 2027 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top