// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 18, 2024

    TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO


    PAMOJA na dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu ya NBC Tanzania na madaraja ya chini kwa wanawake na wanaume kufunguliwa Juni 15 - lakini klabu za Biashara United, Fountain Gate Talents FC, Singida Black Stars, Tabora United na Yanga SC hazitaruhusiwa kusajili hadi ziwalipe wachezaji wanaozidai.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TIMU TANO ZAZUIWA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA YANGA IKIWEMEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top