• HABARI MPYA

    Friday, June 28, 2024

    SIMBA DAY NI AGOSTI 3 KIKOSI KIKITOKEA KAMBINI MISRI


    TAMASHA la kutangaza kikosi kipya cha Simba maarufu kama Simba Day litafanyika Agosti 3, wakati kikosi kitaingia kambini mapema tu Julai nchini Misri kujiandaa na msimu mpya.
    Hadi sasa Simba SC imetambulisha mchezaji mmoja tu mpya, Lameck Lawı (19) aliyesajiliwa kutoka Coastal  Union ya Tanga, ingawa bado kuna mivutano baina ya timu hizo.
    VIDEO: AFISA HABARI WA SIMBA AHMED ALLY AKIZUNGUMZA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA DAY NI AGOSTI 3 KIKOSI KIKITOKEA KAMBINI MISRI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top