SIKU moja baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Gwambina huko Misungwi jana –vigogo, Yanga SC wamerejea Dar es Salaam mapema leo kwa ndege na moja kwa moja kuingia kambini Avic Centre, Kigamboni kwa ajili ya mchezo dhidi ya watani, Simba Jumamosi Uwanja wa Taifa.



0 comments:
Post a Comment