// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAPOKEZI YA YANGA LEO UWANJA WA NDEGE, NYOMI LA KUFA MTU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAPOKEZI YA YANGA LEO UWANJA WA NDEGE, NYOMI LA KUFA MTU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, May 20, 2016

        MAPOKEZI YA YANGA LEO UWANJA WA NDEGE, NYOMI LA KUFA MTU!

        Mashabiki wa Yanga 'wakimgombania' kipa wa timu yao, Deo Munishi 'Dida' wakati timu ilipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam mchana wa leo kutoka Angola ambako iliwatoa wenyeji Sagrada Esparanca mjini Dundo juzi kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya kushinda 2-0 nyumbani na kufungwa 1-0 juzi ugenini, hivyo kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika

        Dida akiwaonyesha ishara ya upendo mashabiki wa Yanga baada ya kutoka nje ya JNIA
        Nahodha Nadir Haroub Cannavaro akitoka ndani ya JNIA kuelekea kwenye basi
        Kiungo kutoka Rwanda, Haruna Niyonzima akitoka ndani ya JNIA kuelekea kwenye basi
        Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma akitoka ndani ya JNIA kuelekea kwenye basi
        Beki Vincent Bossou kutoka Togo akitoka ndani ya JNIA kuelekea kwenye basi
        Mashabiki wa Yanga wakiliongoza basi la wachezaji wao kuelekea makao makuu ya klabu, Jangwani
        Mashabiki wa Yanga wakaifuaria kwa shangwe mbele ya basi la wachezaji wao likielekea Jangwani
        Kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko akielekea kwenye basi baada ya kutoka nje ya JNIA 
        Shabiki huyu alidandia kwenye kioo cha basi ili awapongeze wachezaji wa timu yake
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAPOKEZI YA YANGA LEO UWANJA WA NDEGE, NYOMI LA KUFA MTU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry