// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SAKATA LA NGONGOTI MSENEGALI WA SIMBA 'KUVULIWA HIRIZI' JANA SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESAKATA LA NGONGOTI MSENEGALI WA SIMBA 'KUVULIWA HIRIZI' JANA SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SAKATA LA NGONGOTI MSENEGALI WA SIMBA 'KUVULIWA HIRIZI' JANA SOKOINE
Wachezaji wa Prisons wakimzonga mshambuliaji Msenegali wa Simba SC, Pape Abdoulaye N'daw kumshinikiza avue hirizi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Prisons ilishinda 1-0
Mwishowe refa alimuamuru N'daw arudi kwenye chumba cha kuvalia akakaguliwe
N'daw 'akimtisha' mchezaji wa Prisons aliyemshupalia amevaa hirizi
N'daw akiingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo ili kukaguliwa wakati ambao mchezo ulisimama kwa dakika nne kipindi cha kwanza
Watu 'waso haya' wanapiga chabo madirishani wakati N'daw anakaguliwa chumbani
N'daw anarejea uwanjani baada ya kukaguliwa
Mchezaji wa Prisons aliyedai N'daw ana hirizi akionywa kwa kadi ya njano kabla ya mchezo kuendelea
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment