// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NANI KUMVAA NANI MCHUJO WA MWISHO KUWANIA MAKUNDI YA KUGOMBEA TIKETI YA KOMBE LA DUNIA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NANI KUMVAA NANI MCHUJO WA MWISHO KUWANIA MAKUNDI YA KUGOMBEA TIKETI YA KOMBE LA DUNIA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 15, 2015

    NANI KUMVAA NANI MCHUJO WA MWISHO KUWANIA MAKUNDI YA KUGOMBEA TIKETI YA KOMBE LA DUNIA?

    HATUA ya mwisho ya mchujo wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi kwa kanda ya Afrika inatarajiwa kufanyika katikati ya Novemba.
    Mechi mbili zitachezwa, moja nyumbani na nyingine ugenini na washindi wa jumla wataingia kwenye makundi matano, ambayo mwishowe kila kundi litatoa timu moja ya kwenda Urusi mwaka 2018.
    Mshambuliaji wa Azam FC, Alan Wanga aliisaidia Kenya kufuzu hatua ya mwisho ya mchujo Kombe la Dunia na sasa itamenyana na Carpe Verde

    RATIBA YA HATUA YA MWISHO KOMBE LA DUNIA
    Niger v Cameroon
    Mauritania v Tunisia
    Namibia v Guinea
    Ethiopia v Kongo
    Chad v Misri
    Comoros v Ghana
    Swaziland v Nigeria
    Botswana v Mali
    Burundi v DRC
    Liberia v Ivory Coast
    Madagascar v Senegal
    Kenya v Cape Verde
    Tanzania v Algeria
    Sudan v Zambia
    Libya v Rwanda
    Morocco v Equatorial Guinea
    Msumbiji v Gabon
    Benin v Burkina Faso
    Togo v Uganda
    Angola v Afrika Kusini
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NANI KUMVAA NANI MCHUJO WA MWISHO KUWANIA MAKUNDI YA KUGOMBEA TIKETI YA KOMBE LA DUNIA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top