// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UJERUMANI YAIFUMUA 3-1 POLAND KUFUZU EURO 2016 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UJERUMANI YAIFUMUA 3-1 POLAND KUFUZU EURO 2016 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 05, 2015

    UJERUMANI YAIFUMUA 3-1 POLAND KUFUZU EURO 2016

    UJERUMANI imepanda kileleni mwa Kundi D katika mbio za Euro 2016 kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Poland mjini Frankfurt.
    Thomas Muller na Mario Gotze wote walifunga mabao yaliyoifanya Ujerumani iongoze 2-0 hadi mapumziko, lakini Robert Lewandowski akaifungia Poland moja.
    Gotze akafunga bao lake la pili katika mchezo na la tatu kwa Ujerumani dakika za lala salama ikiibuka na ushindi wa 3-1.
    Kikosi cha Ujerumani kilikuwa; Neuer, Can, Boateng, Hummels, Hector, Schweinsteiger, Kroos, Muller, Ozil, Bellarabi/Gundogan dk53 na Gotze/Podolski dk90.
    Poland; Fabianski, Piszczek/Olkowski dk43, Szukala, Glik, Rybus, Grosicki/Peszko dk86, Jodlowiec, Krychowiak, Milik, Lewandowski, Maczynski/Blaszczykowski dk63.
    Mshambuliaji wa Bayern Munich, Mario Gotze akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UJERUMANI YAIFUMUA 3-1 POLAND KUFUZU EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top