// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MCHEZO GANI HUO WA KUVUANA CHUPI TENAAA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MCHEZO GANI HUO WA KUVUANA CHUPI TENAAA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, February 13, 2015

    MCHEZO GANI HUO WA KUVUANA CHUPI TENAAA!

    MASHABIKI waliojitokeza kutazama mechi kati ya NRL All Stars dhidi ya Indigenous All Stars walishuhudia mambo zaidi ambayo hawakuyarajia wakati wanalipa fedhja kuingia uwanjani.
    Hiyo ni baada ya centre wa Indigenous, Greg Inglis kuvuliwa chupi wakati anapambana na mchezaji wa timu pinzani.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alikuwa amevalia chupi ya 'budgy smuggler' ikiwa na bendera ya Koori ya Australia.
    Fans watching the NRL All Stars take on the Indigenous All Stars got more than they bargained for on Friday
    Mashabiki waliokwenda kutazama mechi kati ya NRL All Stars na Indigenous All Stars leo walipata burudani za ziada
    Greg Inglis was making a break during the first half of the clash when he, and his shorts, were brought down
    Greg Inglis akivuliwa chupi wakati akiangushwa chini na mchezaji wa timu pinzani 

    Chupi hiyo ina thamani ya dola 50 za Australia, sawa na Pauni 25 za Uingereza na ni hivi karibuni tu imezinduliwa.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/rugbyleague/article-2952228/Fans-watching-NRL-Stars-game-bargain-tackle-Greg-Inglis-takes-shorts-reveal-budgy-smugglers.html#ixzz3RdNK8Q9W 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZO GANI HUO WA KUVUANA CHUPI TENAAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top