• HABARI MPYA

    HABARI MOTOMOTO

    HABARI YA KIMATAIFA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    • HABARI ZA NYUMBANI
    • SIMBA
    • YANGA
    • AZAM
    Thursday, April 25, 2024
    AZAM YAICHAPA KMKM 5-2 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    AZAM YAICHAPA KMKM 5-2 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA MUUNGANO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya KMKM katika mchezo wa Nusu Fainali u...
    SIMBA QUEENS YAIKANYAGA YANGA PRINCESS 3-1 CHAMAZI

    SIMBA QUEENS YAIKANYAGA YANGA PRINCESS 3-1 CHAMAZI

    TIMU ya Simba Queens imeendeleza ubabe kwa watani wao, Yanga Princess baada ya kuwachapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tan...
    Wednesday, April 24, 2024
    FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUNGANO CUP

    FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUNGANO CUP

    TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KVZ katika mchezo wa Nusu F...
    YANGA SC YATOKA PATUPU ISAMUHYO, 0-0 NA JKT TANZANIA

    YANGA SC YATOKA PATUPU ISAMUHYO, 0-0 NA JKT TANZANIA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya bila mabao na wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
    ARAJIGA AIFUATA SIMBA SC KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR

    ARAJIGA AIFUATA SIMBA SC KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR

    REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ni miongoni mwa waamuzi watatu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara walioteuliwa kuchezesha Kombe la Muungnao, mic...
    YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP

    YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP

    MABINGWA watetezi, Yanga SC watamenyana na Tabora United Mei 1 katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano a...
    Tuesday, April 23, 2024
    MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI

    MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI

    MCHEZO wa l Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC na wenyeji, JKT Tanzania uliopangwa kufanyika jioni ya leo Uwanja ...
    Monday, April 22, 2024
    TANZANIA PRISONS NA KAGERA SUGAR HAKUNA MBABE, 0-0 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS NA KAGERA SUGAR HAKUNA MBABE, 0-0 SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sok...
    BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA AZAM, YAZIADHIBU TABORA, JKT NA KMC

    BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA AZAM, YAZIADHIBU TABORA, JKT NA KMC

    BODI ya Ligi Kuu (TPLB) imeahirisha mechi kadhaa za Azam na Simba ili kuzipa fursa ya kushiriki michuano ya Kombe la Muungano inayotarajiwa ...
     MABINGWA 56 WADONDOSHEWA BATA LA KUFA MTU  MTOKO WA KIBINGWA NA BETIKA

    MABINGWA 56 WADONDOSHEWA BATA LA KUFA MTU MTOKO WA KIBINGWA NA BETIKA

    MABINGWA wa Promosheni  Kubwa ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 waandika historia wakongwa nyoyo kwa burudani ya aina yake zakiem  na Kushuhu...
    Sunday, April 21, 2024
    FEISAL AWAZIMA IHEFU CHAMAZI, AZAM YASHINDA 1-0

    FEISAL AWAZIMA IHEFU CHAMAZI, AZAM YASHINDA 1-0

    BAO pekee la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 13 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tan...
    KEN GOLD YAPANDA LIGI KUU, PAMBA NI SUALA LA MUDA TU

    KEN GOLD YAPANDA LIGI KUU, PAMBA NI SUALA LA MUDA TU

    TIMU ya Ken Gold ya Mbeya imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate Talents leo...
    SINGIDA FOUNTAIN GATE YATOKA 0-0 NA MASHUJAA KIRUMBA

    SINGIDA FOUNTAIN GATE YATOKA 0-0 NA MASHUJAA KIRUMBA

    WENYEJI, Singida Fountain Gate wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...
    GEITA GOLD YAAMBULIA SULUHU KWA TABORA UNITED

    GEITA GOLD YAAMBULIA SULUHU KWA TABORA UNITED

    TIMU ya Tabora United imelazimishwa sare ya bila kufungana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ally H...
    Saturday, April 20, 2024
    YANGA YAICHAPA SIMBA SC 2-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA MWINGINE LIGI KUU

    YANGA YAICHAPA SIMBA SC 2-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA MWINGINE LIGI KUU

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi watani wao, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jion...
    Friday, April 19, 2024
    WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DERBY KWA MKAPA KESHO

    WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DERBY KWA MKAPA KESHO

    WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati Simba na Yanga itakayofanyika kesho kwenye uwanja w...
    BENCHIKA AMUACHIA MATOLA MKUTANO NA GAMONDI KABLA YA MECHI YA WATANI KESHO

    BENCHIKA AMUACHIA MATOLA MKUTANO NA GAMONDI KABLA YA MECHI YA WATANI KESHO

    KOCHA Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchika amewakilishwa na Msaidizi wake, Suleiman Matola kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, wakati Koc...
    Thursday, April 18, 2024
    NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA

    NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA

    REFA Ahmed Arajiga kwa mara ya pili mfululizo amepewa dhamana ya kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ya Ligi Kuu ya NBC Tanza...
    IHEFU NA SINGIDA FOUNTAIN GATE ZATOSHANA NGUVU, 1-1 LITI

    IHEFU NA SINGIDA FOUNTAIN GATE ZATOSHANA NGUVU, 1-1 LITI

    TIMU ya Ihefu SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja ...
    Wednesday, April 17, 2024
    AZAM FC YABANWA MBAVU NA MASHUJAA CHAMAZI, NGOMA DROO 0-0

    AZAM FC YABANWA MBAVU NA MASHUJAA CHAMAZI, NGOMA DROO 0-0

    WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Compl...
    KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0

    KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0

    BAO pekee la kiungo Hassan Salum Kabunda dakika ya nane limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu y...
    KAGERA SUGAR YAIKANDA TABORA UNITED 3-0 PALE PALE MWINYI

    KAGERA SUGAR YAIKANDA TABORA UNITED 3-0 PALE PALE MWINYI

    TIMU ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwa...
    GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA TANZANIA PRISONS NYANKUMBU

    GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA TANZANIA PRISONS NYANKUMBU

    WENYEJI, Geita Gold leo wamelazimishwa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania leo Uwanja wa sekond...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top